Mazishi ya Marehemu Bwana Simai Msaraka Pinja, Chwaka Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla wamejumuika na Viongozi mbali mbali,Wanafamilia, wananchi na wanakijiji wa Chwaka katika Mazishi ya Marehemu Bwana Simai Msaraka Pinja aliezikwa Kijijini kwao Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja. Marehemu Simai Msaraka